Wednesday, September 3, 2008

Vyakula vya kukwepa (kuacha) wakati unafanya diet (Vyakula vyenye Calories nyingi).

Ni vema kama tungefahamu kwanza calorie ni nini hasa:

Calorie is the energy supplied by the foods we eat is measured in calories. Calories are units of energy contained in the food and drink we consume. Calories are either burned to produce energy or, if surplus to requirements, stored as fat.

Nafikiri sasa tutakuwa tumepata picha halisi ya nini ninachokwenda kuelezea kuhusu vyakula hivi vyenye calories nyingi mwilini,

Vyakula vyote vina kiwango flani cha calories kulingana na wingi wake(volume),vyakula kama wali,nyama ya kukaanga,chips,maandazi.na all processed foods and desserts vina high energy density hii inamaanisha kwamba vyakula hivi vina calories ngingi sana mwilini in small amount of intake,

Lakini vyakula kama mboga za majani matunda na all high protein foods vina low energy density hii ikimaanisha kwamba vyakula hivi havina calories nyingi mwilini tuvitumiapo hata kama tukila in large amount.

Ni muhimu sana kuzingatia vyakula vya aina ya mboga mboga na matunda kwasababu Matunda mengi na mboga za majani yanaujazo mkubwa sana wa maji na sio calories.mfano hapa ni carrots and grapefruits,na pia vyakula vya aina hii huchukua muda mrefu kufanyiwa digestion mwilini kwahiyo vitakufanya ujisikie umeshiba kwa wakati mrefu zaidi.(kwakizungu tunasema high fiber foods)

Baadhi ya vyakula ambavyo unatakiwa kuvikwepa:

  • Always kwepa sana kula cheese, cheese ina kiwango kikubwa sana cha fats,inaongeza calories zisizokuwa na umuhimu kwenye sandwiches na salad tunazokula.
  • Pendelea sana kula vitu vya kuchoma zaidi kuliko vya kukaanga,vyakula vya kukaanga vima more calories na more fats and more sodium.
  • Pendelea kunywa maji zaidi ya soda,kwakuwa soda zenye sukari zina calories nyingi sana kwa chupa moja tuu utakayokunywa.
  • Brown bread ni mkate mzuri sana so jaribu kutafuta huu badala ya ile tulio izoeya ya kawaida.
  • Kwepa sana kula mayonnaise kwani ina calories nyingi sana mwilini,kama unashindwa kuacha kabisa look for low fat mayonnaise.
  • Pendelea kula vyakula vyenye protein kwa wingi na low fats kwa mfano beans,peas and lentils, white meat,egg white,samaki wa kuchemsha,na maziwa low fat milk or fat free.
  • Mwisho kabisa usipende kula vyakula vyenye chumvi nyingi pendelea vyakula ambavyo vina chumvi kidogo sana ya kawaida so it will be less sodium too.
Nasubiri maoni yenu kwa wale ambao wanamaswali au wameshindwa kunielewa karibuni sana,na kwa michango yenu pia.

1 comment:

Anonymous said...

ndio mara yangu ya kwanza kupitia katika blog yako na information ambayo nimeipata naweza kusema itanisaidia sana maana nilikua napenda sana kula samaki wa kukaanga na wali lakini itanibidi nile small portion ya wali na vyengine na la pili ni suggegestion kwmba background ungei change kwa color nyengine because its so difficult to read my has to pop out all completely.

Many Thanks