Saturday, September 20, 2008

Faida za mazoezi kwenye ngozi yako.

Wote tunajua kwamba ni jinsi gani mazoezi yalivyo muhimu kwetu,Je tunajua kuwa mazoezi ni faida pia kwa muonekano wa ngozi yetu?

Mazoezi yanaongeza blood circulation ambayo husafirisha virutubisho mbalimbali mwilini na pia kuipa ngozi nafasi ya kupumua vema kwa jasho linalo isafisha kupitia vinyweleo vya mwili mzima.


Ndio maana nchi za wenzetu wale wenye uwezo huwa mara nyingi wanaoga kwa kutumia mvuke kwenye chumba maalumu.Wanafanya hivi kwa ajili ya kuisafisha ngozi na kuiacha yenye afya na kuvutia zaidi.




Haya ni baadhi ya maneno ya madoctar watafiti kuhusu ngozi:


“Doctors say, another body part may benefit from regular workouts is your skin. Indeed, from reducing spots, breakouts to fighting the signs of aging, health experts say regular exercise can play a big role in how young and how healthy your skin looks and feels.


"It's no secret that exercise has important benefits for the entire body. But what many people don't realize is that our skin is the largest organ of our body, and thus, the benefits can be enormous," says Audrey Kunin, MD, a Kansas City, Mo., dermatologist and author of The DERMAdoctor Skinstruction Manual.”

3 comments:

Jayjo said...

Mambo Brayan,
Nimekuwa nikifuatilia mafunzo yote ya jinsi ya kupunguza mafuta na kitambi, lakini ninachotaka ni kama unaweza kunipa a specific diet kuanzia asubuhi mpaka usiku manake tayari nimeshaanza kufanya mazoezi, sasa nashindwa kujua nile nini haswa manake nashindia tu matunda. Pls!!!!!!!!

BRAYAN said...

Karibu sana kaka kwenye uwanja wa afya ya mwili wako,Ukweli ni kwamba diet ni kitu muhimu sana hasa ukiwa unafanya mazoezi na kutaka kupungua,Kaka mimi sio mzuri sana kwenye diet yani kukupangia ni nini wewe ule kuanzia asubuhi mpaka jioni.ila na weza kukusaidia kwa kukwambia ni vyakula vya aina gani ukwepe na vinywaji gani si vizuri kwa afya yako.jaribu kusoma mada zangu zilizo pita zina zohusu vyakula muhimu kwa afya ya binadamu hasa wakati unafanya zoezi.
Karibu sana kaka kama kunaswali usisite kuuliza niko kwa ajili yenu.

Rick said...

There is no doubt that exercise, with proper hydration can improve your skin.